Jinsi ya kuinstall apps ulizo-download nje ya Playstore | Android

Jinsi ya kuinstall apps ambazo hujazi download kutoka playstore.

1. Download app yako kutoka mtandaoni na subiri imalize kupakulika.

2. Ukimaliza download nenda kwenye Settings

3. Ukiwa kwenye Settings nenda kwenye Security

4. Ukiwa kwenye security nenda kwenye unknown sources na hakikisha sehemu ya kulia ipo wazi.

5. Baada ya kufungua unknown sources, bonyeza app uliopakua na endelea na kuinstall kama maelezo yanavyohitaji kwenye screen.

Comments

Popular posts from this blog

Jinsi ya kudownload series za kikorea | Android

Jinsi ya kudownload Movies na Series mtandaoni kwa Simu | Android