Kudownload match za mpira | Android
Inawezekana umeme ulikatika au ulikua bize na sasa umeikosa mechi uliokua unaisubiria kwa hamu. Hapa ndipo unapoweza kudownload mechi nzima, kuanzia uchambuzi wa mwanzo mpaka maoni ya makocha. Mechi zote za ligi kubwa duniani zinapatikana hapa. Fuata maelekezo yafuatayo: 1. Bonyeza hapa ⚽ kisha chagua mechi unayotaka kudownload. 2. Ukishachagua mechi ya kudownload, shuka chini kwenye comments kuna links za kipindi cha kwanza (1st half), kipindi cha pili ( 2nd half) n.k Mechi ni za ubora mkubwa kwa hiyo kipindi kimoja kinaweza kua na mb hadi 700 Enjoy..