Posts

Kudownload match za mpira | Android

Inawezekana umeme ulikatika au ulikua bize na sasa umeikosa mechi uliokua unaisubiria kwa hamu. Hapa ndipo unapoweza kudownload mechi nzima, kuanzia uchambuzi wa mwanzo mpaka maoni ya makocha. Mechi zote za ligi kubwa duniani zinapatikana hapa. Fuata maelekezo yafuatayo: 1. Bonyeza hapa ⚽ kisha chagua mechi unayotaka kudownload. 2. Ukishachagua mechi ya kudownload, shuka chini kwenye comments kuna links za kipindi cha kwanza (1st half), kipindi cha pili ( 2nd half) n.k Mechi ni za ubora mkubwa kwa hiyo kipindi kimoja kinaweza kua na mb hadi 700 Enjoy..

Jinsi ya kudownload series za kikorea | Android

Series za kikorea zimekuja kwa kasi sana Tanzania. Hivi ndivyo unavyoweza kupakua series zote za kikorea kama unatumia smartphone. 1. Download #Dramania hapa . 2. Browse series unayotaka, fungua episode 3. Chagua download 4. Bonyeza part 1 na kuendelea mpaka episode iishe, halafu ndo uhamie episode inayofuata. 5. Maliza kupakua na anza kuangalia. Unaweza kuzihamishia kwenye computer au kwenye tv kwa kutumia flash au memory card. Enjoy... Jinsi ya kuinstall app ulizo-download nje ya Playstore bonyeza hapa .

Jinsi ya kuangalia mpira mtandaoni | Android

Image
Zipo namna tofauti tofauti za kuangalia mpira mtandaoni, lakini kama unatumia smartphone ukitumia Live NetTv ni rahisi zaidi. Hivi ndivyo unavyotakiwa kufanya: 1. Download Live NetTv hapa . 2. Install live NetTv kwa kufuata taratibu za kuinstall app nje ya playstore. 3. Fungua app, subiri imalize kuload 100% na nenda sehemu ya sports. 4. Angalia BeIN sports, Sky sports n.k Enjoy. Kujua namna ya kuinstall app ulizo-download nje ya Playstore bonyeza hapa

Jinsi ya kudownload Movies na Series mtandaoni kwa Simu | Android

Image
Kuna namna nyingi za ku-download movies na series online. Lakini njia rahisi na inayokupa movies zenye ubora kwa gharama nafuu ni kwa kutumia TerrariumTv. Namna ya kufanya ili udownload movie au series 1. Download na install TerrariumTv app 2. Fungua TerrariumTv app 3. Bonyeza juu mkono wa kushoto wa app kwenye vimistari vitatu (menu) 4. Bonyeza settings 5. Ukiwa kwenye settings, bonyeza kwenye kibox kimeandikwa " Filter out CAM links " kipate alama ya tick ✓ 6. Rudi nyuma, kuna sehemu wameandika "Movies" na sehemu wameandika "Tv Shows " 7. Ku-download movie bonyeza "Movies" zitatokea nyingi utachagua au unaweza ku-search 8. Ku-download series bonyeza " TvShows" zitakuja series nyingi, pia unaweza ku-search series unayoitafuta. Hivyo ndivyo unaweza kudownload movies zenye ubora na mb chache. Download TerramiumTv app hapa . Kujua namna ya kuinstall TerramiumTv app bonyeza hapa .

Jinsi ya kuinstall apps ulizo-download nje ya Playstore | Android

Jinsi ya kuinstall apps ambazo hujazi download kutoka playstore. 1. Download app yako kutoka mtandaoni na subiri imalize kupakulika. 2. Ukimaliza download nenda kwenye Settings 3. Ukiwa kwenye Settings nenda kwenye Security 4. Ukiwa kwenye security nenda kwenye unknown sources na hakikisha sehemu ya kulia ipo wazi. 5. Baada ya kufungua unknown sources, bonyeza app uliopakua na endelea na kuinstall kama maelezo yanavyohitaji kwenye screen.

Apps kumi zinazotumika sana Tanzania | Android

Kuna apps nyingi sana kwenye playstore, na hizi ndizo zinazo pakuliwa sana na watumiaji wa Android Tanzania. Uwe na Tecno, Samsung, LG, Itel n.k lazima uwe na apps mbili au zaidi kati ya hizi. Ili ufurahi na simu yako hakikisha walau una apps 8 kati ya hizi 10, ukiwa nazo zote ni bora zaidi. Kuna apps nyingi sana kwenye playstore, na hizi ndizo zinazo pakuliwa sana na watumiaji wa Android Tanzania. Uwe na Tecno, Samsung, LG, Itel n.k lazima uwe na apps mbili au zaidi kati ya hizi. Ili ufurahi na simu yako hakikisha walau una apps 8 kati ya hizi 10, ukiwa nazo zote ni bora zaidi. 10. Likee -Hii ni app inayojumuisha video nyingi fupi fupi. Inafanana sana na Snapchat lakini Likee ni rahisi kutumia na ina muonekano rafiki zaidi kwa watumiaji. Kwenye Playstore Likee imepakuliwa zaidi ya mara milioni 100 duniani kote. Watu milioni 3 na zaidi wametoa maoni yao kuhusu Likee na imepewa nyota 4½ kati ya nyota 5. Hii app ina mb 50 Download Likee 9. Beauty Plus - Easy Photo Edito