Jinsi ya kudownload series za kikorea | Android

Series za kikorea zimekuja kwa kasi sana Tanzania. Hivi ndivyo unavyoweza kupakua series zote za kikorea kama unatumia smartphone.
1. Download #Dramania hapa.
2. Browse series unayotaka, fungua episode
3. Chagua download
4. Bonyeza part 1 na kuendelea mpaka episode iishe, halafu ndo uhamie episode inayofuata.
5. Maliza kupakua na anza kuangalia.
Unaweza kuzihamishia kwenye computer au kwenye tv kwa kutumia flash au memory card.
Enjoy...
Jinsi ya kuinstall app ulizo-download nje ya Playstore bonyeza hapa.

Comments

Popular posts from this blog

Jinsi ya kudownload Movies na Series mtandaoni kwa Simu | Android

Jinsi ya kuinstall apps ulizo-download nje ya Playstore | Android