Jinsi ya kudownload Movies na Series mtandaoni kwa Simu | Android

Kuna namna nyingi za ku-download movies na series online. Lakini njia rahisi na inayokupa movies zenye ubora kwa gharama nafuu ni kwa kutumia TerrariumTv.
Namna ya kufanya ili udownload movie au series
1. Download na install TerrariumTv app
2. Fungua TerrariumTv app
3. Bonyeza juu mkono wa kushoto wa app kwenye vimistari vitatu (menu)
4. Bonyeza settings
5. Ukiwa kwenye settings, bonyeza kwenye kibox kimeandikwa " Filter out CAM links " kipate alama ya tick ✓
6. Rudi nyuma, kuna sehemu wameandika "Movies" na sehemu wameandika "Tv Shows "
7. Ku-download movie bonyeza "Movies" zitatokea nyingi utachagua au unaweza ku-search
8. Ku-download series bonyeza " TvShows" zitakuja series nyingi, pia unaweza ku-search series unayoitafuta.
Hivyo ndivyo unaweza kudownload movies zenye ubora na mb chache.
Download TerramiumTv app hapa.
Kujua namna ya kuinstall TerramiumTv app bonyeza hapa.

Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

Jinsi ya kudownload series za kikorea | Android

Jinsi ya kuinstall apps ulizo-download nje ya Playstore | Android